Watu watatu wameaga dunia wakati mvua imenyesha usiku wa kuamkia leo kule Nairobi.
Mvua nyingi imeonekana ikileta maafa na mafuriko hivi karibuni kuanzia Nairobi, narok na hata Pwani ya Kenya.
Juma lililopita mvua pia ilionekana kuleta maafa katika jimbo la Texas nchini marekani.
Kuna haja ya kulinda mazingira na kutafakari anga ili kuepukana na hali kama hii.
Orina ontiri, AGR news.
Comments
Post a Comment