Skip to main content

AGR NEWS BULLETIN SEPT 8TH 2020 (KISII)

Comments

Popular posts from this blog

Mafuriko na vilio Dar

Na Waandishi Wetu, Dar es Salaam WATU wanane wamefariki dunia kutokana na mafuriko ya mvua zinazoendelea kunyesha jijini Dar es Salaam. Akitoa taarifa ya vifo hivyo Dar es Salaam jana, Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Suleiman Kova, alisema watu watano wametambuliwa na wengine watatu bado hawajatambulika na miili yao imehifadhiwa katika ya Hospitali ya Mwananyamala. Alisema Mei 6 mwaka huu, saa moja usiku maeneo ya Magomeni wilayani Kinondoni, mkazi wa Manzese, Shabani Idd (73), alisombwa na maji ya Mto Ng’ombe alipojaribu kuuvuka na mwili wake ulipatikana Mei 7 akiwa amefariki. “Kifo kingine kilitokea Mei 7, mwaka huu mnamo saa 6 mchana maeneo ya Mwananyamala Mbuyuni ambako Masumbuko Douglass (50) alianguka na kufariki dunia ghafla wakati akitoa maji yaliyoingia ndani kwake na uchunguzi wa awali unaonyesha alikuwa na kifafa hivyo wakati akihangaika kutoa maji ugonjwa huo ulimpata na kuanguka,” alisema Kova. Alisema Mei 6, mwaka huu mkazi wa Mvuru...

UPENDO WA MUNGU MKUU BY ORINA ONTIRI

Hey Men.....6 Ways Men are Destroying their Sperm

It’s not only women who suffer from infertility problems. Men are also the victim to fertility issues. The sperm plays an important role in fertilization. The lifestyle people lead today lead to the disintegration of the quality of the sperm and its production. Here are some issues that affect his sperm levels: Keeping their phones in the front trouser pockets All of us know the ill effects of radiation emitted from our phones and yet we choose to keep them in our trouser or jeans pockets. It’s not all talk but research that has proved that the radiation emitted from our phones kill the sperms in his pants. So if you are worried about fertility issues, remind your guy to keep his cellphone elsewhere. Excessive smoking Smoking is bad for the overall health. It even affects the sperm in a negative way. Smoking apart from reducing the  sperm count  also prevents it from moving around. Stress Stress affects all our bodily functions including the production o...