Skip to main content

Posts

Mwanasiasa amtaka mbunge wa Kitutu Chache kaskazini kuheshimu wanasiasa wengine  Mbunge wa Kitutu Chache kaskazini Jimmy Nuru Angwenyi. Ameombwa kuwaheshimu wanasiasa wengine katika Kaunti ya Kisii. Mwanasiasa aliyewania kiti cha ubunge katika eneo bunge la Kitutu Chache kaskazini kaunti ya kisii, James Atandi amemtaka mbunge aliye mamlakani katika eneo bunge hilo Jimmy Nuru Angwenyi kuheshimu wanasiasa wengine walio katika mamlaka na wale wasio mamlakani. Akizungumza siku ya Alhamisi katika hafla ya mazishi ya ajuza Jeruza Orure yalioyofanyika katika kijiji cha Kemanko, Atandi alimtaka mbunge wa eneo hilo kutoharibia majina wanasiasa wengine na kufanya kazi aliyochaguliwa kufanya. "Sisi wanasiasa ni maadui kwa wanasiasa wengine. Ni jukumu la kila mwanasiasa kuheshimu mwanasiasa mwingine. Naomba mbunge wa eneo hili kuniheshimu ingawa zikuchaguliwa. Wakati wangu utafika na mwaka 2017 nitasimama tena. Angwenyi asije akaniharibia jina kwa mikutano mingine,”alisema Atandi. Ai...
-- Ni wakati wa kupokea habari za YARD fm na AGR lakini kwanza tupate mkhutasari wake Maandamano si suluhu gavana Ongwae ambia wakaazi wa kisii --Tunahitaji pesa nyingi katika mashindano ya tamasha za mziki asema naibu mwenyekiti evans Gesanda --Serikali ya Nyamira yaombwa kuongeza pesa zaidi kwa sekta ya afya Mzipozingatia usafi mtaathiriwa na funza mhudumu wa afya katika jamii Kepha kengoina awaonya wakaazi wa mwembe --Kizungumkuti chazuka kati ya afisa wa polisi na madereva wa teksi mjini Kisii Habari kamili 1  Gavana aomba wakazi kutafuta sululu wakatijambo mbaya linapotokea bali si kuandamana-Kisii Wakazi wa kaunti ya Kisii wameombwa kutoandamana wakati kuna jambo mbaya linapotokea katika maeneo mbalimbali ya Kuanti hiyo kwani hiyo si suluhu . Akiongea na wananchi wa eneo bunge la Bochari kaunti ya Kisii walioandamana hii leo hadi ofisi za Gavana wa kaunti ya Kisii zinazopatikana mjini Kisii Gavana wa kaunti ya Kisii James Ongwae, aliwaomba wakazi hao wasikuwe na tab...
kisii County News Thursday,June 18 2015 Father jailed for 30 years for killing son A signboard showing directions to Kisii law courts. A father was jailed for 30 years by the High Court in Kisii for killing his son. A man was jailed for 30 years by the High Court in Kisii after he was convicted of murdering his son. Kennedy Obara murdered his two and a half year old son, Hezbon Nyamongo by strangling him on April 11, 2013 at Nyaramba sub location in Gucha South, Kisii County. The court was told that Obara, who had a habit of beating his wife, had beaten her on the fateful night using a walking stick after which she fled to her parents at Suguta. She left behind her two sons who included the deceased and his seven-year-old brother. Kisii Resident Judge Ruth Sitati said that after carefully examining the evidence given by the prosecution and the cross examination, she concluded that it was Obara who killed the deceased. She said that in her considered view there was sufficient...

Taarifa 06/11/2015

--Waziri wa fedha Henry Rotich asoma Bujeti ya mwaka wa 2015-2016 . --tunaomba serikali kuwatia mbaroni wakimbizi ghushi     asema mwenyekiti Nemuel Momanyi --ni haki yetu hatutarudisha sare za kazi        wafanyikazi wa nyamira wasimama kidete. --kamishena wa kisii chege mwangi kuzuru eneo la gesure hivi karibuni 1 Bajeti ya mwaka wa 2015-2016  imesomwa hii leo katika ukumbi wa bunge la kitaifa ikiwasilishwa na waziri wa fedha nchini Henry Rotich. Bajeti hiyo ya pesa taslimu shillingi trillion mbili itanufaisha baadhi ya sekta mbalimbali ikiwemo sekta ya kutengeneza barabara kutengewa kiwango kikubwa cha  pesa. Hii ni mara ya pili bajeti kusomwa chini ya uongonzi wa serikali ya Jubilee huku wakenya wengi walikuwa wanatarajia bei ya bidhaa kushuka na hata masuala muhimu ikiwa suala la kuimarisha usalama nchini .  2Mwenyekiti wa wakimbizi wa ndani walioathirika kufuatia ghasia zilizozuka baada ya uchaguzi wa mwaka 2007 katika kaunti...

Bwana Yesu Kristo hakufa Msalabani ili atimize Ndoto Yako

LUGHA MPYA: Mtazamo wa ulimwengu, nia ya kibinadamu na ya wasioamini zimeingia fikra za waumini wengi sana. Wapendwa wasomaji, wapi katika Agano Jipya  tunasoma kwamba Yesu au mitume wanawasisitiza waumini wazifuate ‘ndoto’ zao? Haipo! Wapi katika maandiko ya Biblia  waandishi wanatumia lugha ya ‘zifuate ndoto zako’? Haipo! Wapi Bwana Yesu alisema, “Nimekuja kuitumiza ndoto yangu.”? Haiwezekani! Siyo ndiyo? Yesu wala mitume wake hawakuitumia lugha hiyo au maneno haya! Wazo hili linapinga mafundisho ya neno la Mungu. Wazo hili linainua hamu yangu yenyewe au tamani yangu ya binafsi kuliko mapenzi ya Mungu kwa maisha yangu! Ni mafundisho ya hatari sana siku hizi. Bwana Yesu hakufa ili atimize ndoto yako bali mapenzi ya Mungu yatimizwe katika maisha yako. Watu, na hata wahubiri, wanasema, ‘Fuata ndoto zako!’ Lakini Yesu alisema, ‘Nifuate mimi’. Ikiwa utafuata ndoto zako, unajifurahisha mwenyewe tu. Lakini ikiwa utamfuata Yesu, atampendeza Yeye. Kama utafuata ndoto zako, ba...

Taarifa ya 06/11/2015

1]Mwenyekiti wa wakimbizi wa ndani walioathirika kufuatia ghasia zilizozuka baada ya uchaguzi wa mwaka 2007 katika katika kaunti za Nyamira na Kisii ameomba serikali kuu kuwachukulia hatua kali ya kisheria wale wanajitambulisha kuwa wakimbizi ili kufadhiliwa na serikali. Akiongea siku ya Jumatano na waandishi wa habari katika uwanja wa michezo wa Gusii, mwenyekiti huyo Nemuel Momanyi alisema kuna baadhi ya watu ambao wanajitambulisha kuwa wakimbizi wa ndani ilhali hawakufurushwa kutoka popote ila ni mbinu ya kufadhiliwa na serikali ya kitaifa. Hii ni baada ya wakimbizi wa ndani 23,000 katika eneo la Gusii wanaostahili kufadhiliwa na serikali kusema kuwa hawajawahi pata msaada wowote kutoka kwa serikali hadi sasa.  Wakati huo huo mwenyekiti huyo alisema kuwa ni wakimbizi hao bandia wanaishi vizuri baada ya kupata pesa za bure kutoka kwa serikali ilihali wale halisi wanasumbuka. 2] Mbunge wa Homa-Bay Town Peter Kaluma ameziomba Serikali za ugatuzi pamoja na ile ya kitaifa kush...